figisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuendelea kutegemea uchawi na figisu kwa Mkapa ili kushinda mechi ni upuuzi

    Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora. Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
  2. DeepPond

    Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

    Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae[emoji2] BINAFSI ILIKUA HIVI[emoji4][emoji116] Nadhan wote mnamkumbuka vizur yule Mchepuko wangu msumbufu, sasa figisu la leo...
  3. britanicca

    Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
  4. msovero

    Humphrey polepole na King msukuma figisu zenu za kumhujumu Rais Samia hazitawafikisha popote

    Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli. Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa Nakumbuka wakati humphrey...
  5. Determinantor

    Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  6. Erythrocyte

    Figisu zaanza TFF , Oscar Oscar adai kupewa taarifa kwamba kakatwa

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwenye vyombo vya habari , anadai amepokea Email kutoka Kamati ya Uchaguzi kwamba Amekatwa. Ameahidi kutoa ufafanuzi zaidi baadaye kidogo
  7. N

    Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

    Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa. Je, Mama yetu Samia anakumbuka alivyoahidi mtangulizi wake kuhusu huyu bwana? Je, ndiyo mwisho wa Masele...
Back
Top Bottom