NILIMPA FIGO YANGU
Kila ninapokumbuka, moyo wangu unauma,
Nilimpenda Rebeka, ni binti wa Kimanyema,
Chuoni nilipofika, kwa pamoja tulisoma,
Nilimpa figo yangu, la mbele sikutambua.
Tangu afike chuoni, Rebeka nilimpenda,
Kimtazama usoni, utakutoka udenda,
Ni shombe shombe makini, lizaliwa huko...