Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu
Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili.
=====
Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years.
Updated: May 12, 2024 09:36 AM EST
Richard “Rick” Slayman, the first person who received a...
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2...
Habari za asubuhi,
Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee..
So ili niache Kwa amani...
Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao.
Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama isipotumika kwa umakini na kizingatia kipimo stahiki ukawa unabugia tu unaharibu Figo.
Utakuta MTU...
Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya
Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...
#AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis).
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40.
Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia maadhimisho haya, watu hupata fursa ya kujifunza kuhusu njia za kuzuia magonjwa ya figo, kudhibiti...
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba.
Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Nitoe pole kwa Prof. Jay kwa machungu aliyopitia kipindi chote cha ugonjwa. Ninashukuru mwenyenzi Mungu kwa kuzidi kumpa nguvu na afya yakumtumikia.
Nimpongeze pia Prof. Jay kwa kuona upo umuhimu wa kuwa na foundation itakayosupport wagonjwa wa figo. Hii ni vision nzuri na nia njema kwetu ambao...
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara nyingine kwa mafaniko makubwa kwa kushirikiana na Korea International Foundational for Health Care na Africa Future Foundation imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne ambao figo zao zimeshindwa kufanya kazi.
Upandikizaji huo ni wa...
Serikali imeweka mchango mkubwa katika utoaji huduma za matibabu kwa wagonjwa wa figo katika ngazi mbalimbali nchini kuanzia kwenye kusomesha watalaamu, miundombinu na mashine za usafishaji damu hadi upandikizaji.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai.
Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja?
Bajet yake ni sh ngap?
Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo.
Natanguliza shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.