filamu

  1. Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  2. T

    Matrix sio tu filamu, ni utangulizi wa ujumbe wa kisiri

    MATRIX SIO TU FILAMU, NI UTANGULIZI WA UJUMBE WA KISIRI "Ulimwengu tunaouona ni udanganyifu tu, gereza la kiakili linalotuzuia kugundua uwezo wetu wa kweli." Filamu hii ni kioo cha ubinadamu, mwito wa kuamsha roho na kujitoa katika minyororo isiyoonekana. Imejengwa juu ya dhana za kale za...
  3. L

    Ne Zha 2 yashika nafasi ya tisa katika orodha ya filamu zilizopata mauzo makubwa duniani

    Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya tano katika mapato ya filamu zilizoonyeshwa kanda ya Kaskazini ya bara la Amerika na ya tatu huko...
  4. Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  5. Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  6. W

    Watoto Media Library: Tupeane mapendekeza ya filamu, nyimbo au vipindi vinavyofaa kwa burudani, maadili na elimu ya Watoto

    Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto. Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
  7. Like Stars on Earth: Filamu Bora kwa Wazazi na Walezi.

    Filamu ya Like Stars on Earth ya mwaka 2007 ni moja ya kazi bora za sanaa zinazogusa kwa undani masuala ya malezi, elimu, na namna tunavyowahukumu watoto katika jamii ya kisasa. Imeongozwa na Aamir Khan na Amole Gupte, na inajumuisha nyota wa filamu kama Darsheel Safary, Aamir Khan, pamoja na...
  8. Je, kuna filamu nyingine kama hii unaijua!? Kwenye vitabu je?

    Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi. Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
  9. Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  10. Filamu ya "Tantalizing Tanzania" Yazinduliwa Rasmi Nchini India

    FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
  11. L

    Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  12. F

    Filamu za kinaijeria

    Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo: 1.zina mafunzo mengi ya maisha 2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene 3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene 4.wanaulinda sana utamaduni wao na lugha ya ya pygin english
  13. Filamu ya Kanumba "Riziki" iliyotoka 2005 sasa ipo YouTube kama hukuwahi kuitazama kaitazame

    kanumba akiwa na 21yr's alicheza filamu hii, watu wengi sana hawajawahi kuiona ila sasa ipo YouTube nenda kaitazame.
  14. Filamu za Kimkakati Kuandaliwa Kuelezea Utamaduni na Vivutio vya Tanzania

    FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa Filamu tano ambazo zitaelezea utamaduni, vivutio vya ndani, historia na...
  15. Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  16. Wapange kwa ubora wa 1 hadi 5 waigizaji hawa maarufu wa Hollywood

    Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
  17. W

    Ni nukuu gani tu ukiisikia unajua imetoka kwenye filamu gani?

    Without naming a film, what is one quote that gives it away? “Good morning, and in case I don't see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!”
  18. W

    Ni kifo cha Muigizaji 'Movie Character' gani kilikuumiza hadi ukaacha kutazama muendelezo wa Filamu hiyo?

    Series ya Money Heist ilikuwa ya moto sana hadi pale Nairobi na Tokyo walipofariki yaani nilikosa nguvu ya kuendelea kutazama muendelezo wa Tamthilia
  19. EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  20. Je ni kweli Dolph alimjeruhi vibaya Sylvester Stallone wakiwa wanarekodi filamu ya Rocky IV?

    Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha kwani Dolph Lundgren alimpiga ngumi walipokuwa wakirekodi vipande vya mapigano. Alidai kuwa alitamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…