U.S Marine Ray Garrison anapoamua kwenda mapumzikoni baada ya kumaliza mission ya ukombozi jijini Mombasa. Watu wanaohitaji maelezo ya kijasusi kuhusu mission ile wanakatisha vacation yake na kuamua kumsurubisha mkewe mbele ya macho yake.
Hata alipoamua kuwaambia ukweli kuwa hana analojua...
Ni ratiba yake ya kila siku..kupanda treni ya jamii,kutoka nyumbani kwenda kazini na kurudi ni hivo hivo,alishazoea,ndo maisha yake ndani ya miaka 10..
...Alishawajua kwa majina na sura abiria wenzie wazoefu..ni maisha nje ya treni na ndani ya treni alijiona yuko nyumbani...mpaka ilipokuja siku...
Haikuwa bahati mbaya...wala sio ajali kwao...ilitokea kama wamelala na ikatokea wameamka tofauti na walipolala..ni rahisi hivo tu..wakajikuta wapo kwenye chumba kimoja,chenye vyumba vingi..ni complete cube...
......Engineer designer wa majengo..daktari anaeujua nje ndani mwili wa...
Walimaliza kupendana kwa simu, wakawashirikisha wazee mapenzi yao. Kupanga tarehe haikuwa kazi, misingi ya harusi ikaandaliwa, ioni moja tulivu wawili hawa wakafunga ndoa, ikawa rahisi tu.
Grace msichana asieamini kwenye pesa aliwekeza moyo wake kwenye mapenzi zaidi. Alimpenda kijana wa nyumba...
Unapoandika mswada [script] kuna vitu vitatu vya msingi kuzingatia:
• Muhusika (character)
• Muundo (plot)
• Dhamira (theme)
1. TUKIMZUNGUMZIE MUHUSIKA KWANZA
Mswada wa filamu una sehemu kuu nne ambazo kila mwandishi lazima azipitie ili mswada wake uwe nzuri, kwanza kabisa ni hadithi yenyewe...
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya, ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja: shadow of a tear na nyingine nyingi.
Muigizaji wa kike aliyekuwa mmoja wa wahusika katika filamu ya Queen of Katwe, iliyoangazia mtu mwerevu kutoka maeneo ya makazi duni ya Uganda, aliekuwa anacheza chess, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 15, kulingana na chombo cha habari cha Uganda.
Nikita Pearl Waligwa alikuwa amepatikana na...
Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani.
Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
You again (2019).
Cast: Mimi mars, Nick Mutuma, Amalie Chopetta, Moriss Mwangi, na wengine wengi.
Director: Nick Mutuma & Natasha Likiman
Uchambuzi:
Hizi ni moja kati ya zile wanaita romantic comedy movies. Zina u serious f'lani hivi lakini lazima zikuache mbavu zikiwa hoi na mafundisho juu...
ELIZEBERT MICHAEL (LULU) ABEBA UJAUZITO WA MAJIZO
Mwigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Elizebert Michael ambaye pia ni maarufu kwa jina la Lulu hatimaye ni mjamzito na hivi karibuni atajifungua mtoto wake wa kwanza.
Lulu ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha hiyo kitu ambacho kila mtu...
Ningepewa fursa ya kuchagua generation ipi niishi basi chaguo langu lingekuwa kuz 1880 - kuf 1960 maana huu utandawazi uchaniacha salama nimekuwa mtumwa ili kuendana na kasi ya maisha ya karne ya 21.
Turudi kwenye mada. Filamu hutuburudisha na pia hutufundisha lakini kwa trend ya filamu za...
Miaka kadhaa tangu kutolewa kwa filamu ya Apocalypto(mwaka 2006),bado nimeguswa kuandika makala yangu ya kwanza kwenye blogu hii kuhusu filamu hiyo.Ninaipenda sana filamu hii.
Mel Gibson na Farhad Safinia ndio walioiandika Apocalpto.Wawili hawa walikutana kwenye matengenezo ya mwisho mwisho ya...
Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.