filamu

  1. Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  2. Filamu ya Kenya 'Poacher' kuoneshwa kupitia Netflix

    Pamoja na Netflix kuwa kampuni ya uzalishaji; jukwaa lenye utazamaji mkubwa ambao huvutia zaidi ya wanachama milioni 183 wa kimataifa, imekuwa ndoto ya kila mtengenezaji / waigizaji wa filamu kuwa na maudhui yao kurushwa juu yake. Sekta ya filamu nchini Kenya inaashiria hatua nyingine kufuatia...
  3. Akili kubwa - maudhui ya filamu "wavamizi" ya Kenya yakubalika kimataifa

    Hivi hivi tunakwenda, tunawakilisha. ======= Former Tahidi High actress Shirleen Wangari alias Shish Kenyan movie concept Wavamizi received international recognition after being listed in the 2020 Durban Film Mart (DFM) for funding. Wavamizi translates to Invaders in English and tells the...
  4. Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
  5. Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

    Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria. Ila Nyuma ya...
  6. A

    Huyu muigizaji wa filamu anaejiita mutrah1 huko instagram, ni sukari ya warembo aisee

    Professionally, huyu jamaa ni muigizaji maarufu kidogo, tena ni mtanzania anaeongea kiswahili, na ni mwanaume aliezaliwa na kukulia Dar, aliigiza kwenye ile movie inayoitwa huba, half kimuonekano jamaa hana hela, wala ha-post maisha ya kifahari kwenye Instagram page yake. Anaji-post yeye akiwa...
  7. K

    Mawazo kwa wasanii wa filamu: Tumieni mbuga zetu/ Wanyama wetu biashara zenu zitapata pesa sana

    Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
  8. Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  9. Filamu ya IT

    Ninachompendea Stephen King ni ule uwezo wake wa kuandika visa tetemeshi sana kutokana na wazo la kawaida mno - wazo ambalo mara nyingi watu hawalifikirii mpaka walisome kutoka kwake. Sasa kwenye kitabu chake alichokiita "IT" kilichouzwa nakala nyingi sana duniani na kutengenezwa filamu angalau...
  10. Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  11. Unaikumbuka filamu gani iliyokaribia kukutoa machozi

    Waandishi wa filamu walikuwa na vionjo vyao katika maisha ya mateso ambayo mtazamaji anaweza jikuta anamwaga machozi wakati anaangalia filamu. Hali hii ilikuwepo hata Tanzania kipindi filamu zinafanya vizuri kuliko sasa, filamu kama Dunia Hadaa, Safari, nk zilikuwa na vionjo vya kuteka hisia za...
  12. TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

    Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53 Alikuwa muigizaji anayependwa na kuheshimika sana, wengi wakisema ni mwigizaji wenye kipaji kikubwa. Mwongoza filamu...
  13. Slumdog Millionaire: Filamu ya kihindi inayoonyesha maisha ya masikini wa India

    Ni filamu ya kihindi iliyotengenezwa mwaka 2008 inayoonyesha maisha ya kijana aliyekulia mtaani na kuwa tajiri kwa bahati tu Filamu ilianza kwa kumuonyesha muhusika Jamal, akiwa kwenye kipindi cha ‘who wants to be a millionaire’ kipindi kilikuwa kinauliza maswali mengi tofauti na atakaye patia...
  14. Tanzanian made clean animations

    Hello wana Tech wote out there!! Below is a 2D animation i've been working with for sometime! Lakini I RAN INTO MAJOR PROBLEM, software ilicrush violently nlipokua na save project!! The whole project is now destroyed, nimejaribu my best ku recover na nimepata most of it ila hii scene nimepata ni...
  15. Filamu zetu zifikie kiwango cha juu Kimataifa

    Nimechoka sana na nasikia aibu jumlisha wivu , kuangalia filamu za wenzetu zikiendelea kukosha nyoyo zetu hasa kipindi hiki cha Mzee barakoa. Inabidi watu waibuke wasapoti kazi za sanaa yetu kama tulivofanikiwa katika nyanja ya uongozi bora (nitabishiwa hapa), vipaji kichwani (kiakili), na sasa...
  16. Filamu ya DONT BREATHE

    Ni Rock, Alex, na Money. Wanaishi kwa kutumia wizi. Wwanavunja usiku na kuingia kwenye nyumba watayoona inafaa na kuchukua kila kinachowafaa, wanaishi hivo. Walipopata taarifa kutoka kwa mtu anaewapa dili za nyumba za kwenda kuiba,aliwaelekeza kuhusu dola laki tatu,alizopewa mzee mmoja kama...
  17. Filamu ya COUNTDOWN

    Kifo? Ndio, ipo app kwenye simu kwa ajili hiyo. Ilianza kama utani, baada ya kujua kuna application inayotabiri binadamu umebakiza muda gani wa kuishi duniani. Marafiki wakaamua kuitumia kama mchezo ili ataebakiza muda mchache awanunulie wenzie pombe, hawakujua. Walivotaka iwe mchezo na uishie...
  18. Uchambuzi wa filamu ya Bhoom

    .Ndio roho yake...kila kitu chake..furaha yake imelala kwenye mikono ya binti yake..hakuna anachopenda hapa duniani kuliko kumona mwanae akiwa anacheka...ni kama waliungana mwili,akaipa maana ile kauli kuwa binti jasiri rafiki yake baba...wakaishi hivo... ...Uzuri wake ulisababisha apate mtu wa...
  19. Filamu ya DETECTIVE

    Kwenye nyumba moja ya familia inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu panatokea mauaji ya kutisha na familia kuchomwa moto uliotokana na umeme, kwanini? Muda hayo yanatokea upande mwingine kuna mtu anachinjwa hadharani na watu wasiojulikana,mbele ya umati wa watu,akiwa na begi mkononi, kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…