FACT :D:D
Je, wajua beki wa Yanga SC. Lamine Moro ana magoli mengi (3) kuzidi jumla ya magoli ya Bwalya, Mkude, Ajibu, Morrison, Kahata, Ilanfya?
FACT :D:D
Je, wajua Bernard Morrison tangu ajiunge na simba hajawahi maliza dakika tisini VPL?
FACT :D:D
Je, wajua bei ya jezi moja ya Yanga sh...