finland

Finland (Finnish: Suomi [ˈsuo̯mi] (listen); Swedish: Finland [ˈfɪnland] (listen), Finland Swedish: [ˈfinlɑnd]), officially the Republic of Finland (Finnish: Suomen tasavalta, Swedish: Republiken Finland (listen to all)), is a Nordic country in Northern Europe bordering the Baltic Sea, Gulf of Bothnia, and Gulf of Finland, between Sweden to the west, Russia to the east, Estonia to the south, and north-eastern Norway to the north. The capital and largest city is Helsinki. Other major cities are Espoo, Tampere, Vantaa, Oulu, Turku, Jyväskylä, Lahti and Kuopio.
Finland's population is 5.52 million as of July 2019, the majority of whom live in the central and south of the country and speak Finnish, a Finnic language from the Uralic language family, unrelated to the Scandinavian languages. Finland is the eighth-largest country in Europe and the most sparsely populated country in the European Union. It is a parliamentary republic of 310 municipalities, and includes an autonomous region, the Åland Islands. Over 1.4 million people live in the Greater Helsinki metropolitan area, which produces one third of the country's GDP. Swedish is the second official language of Finland, which is mainly spoken in certain coastal areas and on Åland. A large majority of Finns are members of the Evangelical Lutheran Church.Finland was inhabited when the last ice age ended, approximately 9000 BC. Comb Ceramic culture introduced pottery 5200 BC and Corded Ware culture coincided with the start of agriculture between 3000 and 2500 BC. The Bronze Age and Iron Age were characterised by extensive contacts with other cultures in the Fennoscandian and Baltic regions. At the time Finland had three main cultural areas – Southwest Finland, Tavastia and Karelia. From the late 13th century, Finland gradually became an integral part of Sweden through the Northern Crusades and the Swedish part-colonisation of coastal Finland, a legacy reflected in the prevalence of the Swedish language and its official status.
In 1809, Finland was incorporated into the Russian Empire as the autonomous Grand Duchy of Finland. In 1906, Finland became the first European state to grant all adult citizens the right to vote, and the first in the world to give all adult citizens the right to run for public office. Following the 1917 Russian Revolution, Finland declared itself independent. In 1918, the fledgling state was divided by civil war, with the Bolshevik-leaning Red Guard, supported by Soviet Russia, fighting the White Guard, supported by the German Empire. After a brief attempt to establish a kingdom, the country became a republic. In World War II, Finland lost parts of Karelia, Salla, Kuusamo and Petsamo to the Soviet Union.
Finland remained largely an agrarian country until the 1950s. After World War II, the war reparations demanded by the Soviet Union forced Finland to industrialise. The country rapidly developed an advanced economy while building an extensive welfare state based on the Nordic model, resulting in widespread prosperity and a high per capita income. Finland is a top performer in numerous metrics of national performance, including education, economic competitiveness, civil liberties, quality of life, and human development. In 2015, Finland was ranked first in the World Human Capital and the Press Freedom Index and as the most stable country in the world during 2011–2016 in the Fragile States Index, and second in the Global Gender Gap Report. It also ranked first on the World Happiness Report report for 2018 and 2019.Finland joined the United Nations in 1955 and adopted an official policy of neutrality. The Finno-Soviet Treaty of 1948 gave the Soviet Union some leverage in Finnish domestic politics during the Cold War. Finland joined the OECD in 1969, the NATO Partnership for Peace in 1994, the European Union in 1995, the Euro-Atlantic Partnership Council in 1997, and the Eurozone at its inception in 1999.

View More On Wikipedia.org
  1. Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  2. Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya miaka 107 ya uhuru wa Finland

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya miaka 107 ya Uhuru wa Taifa hilo iliyoandaliwa na Ubalozi wa Finland hapa nchini. Akizungumza katika...
  3. Tanzania na Finland zasaini Hati ya Makubaliano kuendesha mashauriano ya Kisiasa

    Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...
  4. Je, Tanzania tunataka kuvutia best brains kuingia kwenye ualimu kwa mazingira yapi?

    Tujadili kidogo Hivi kweli unaweza kupata mwalimu Bora kupitia mtihani..? Tujifunze kwa Finland wanatumia scout system kutambua watu wanaofaa kuwa walimu kisha wanawekeza kila walichonacho kuwatengeneza. Kwanza wameifanya kada ya ualimu kuwa the most respected kada in the country. Ni rahisi...
  5. J

    Waziri Nape afanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania

    Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting Ofisini kwake jijini Dar es Salaam aliyeambatana na Mkuu wa...
  6. Finland nchi ya kwanza ya Nordic kujadiliana Kidiplomasia na Tanzania

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kipaumbele kwa maslahi ya pande zote mbili. Pamoja na Tanzania kuwa na uhusiano mzuri na...
  7. TANZIA Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari afariki akiwa na miaka 86. Aliwahi kuhudumu kama Balozi Tanzania mwaka 1973 - 1977

    Martti Ahtisaari Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya Nobel mwaka 2008, alikuwa rais wa Finland kuanzia mwaka 1994 hadi 2000. Rais wa Finland, Sauli...
  8. Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  9. Urusi yaonya kuhusu uanachama wa Finland katika NATO

    Urusi imeutaja uanachama wa Finland katika jumuiya ya Kujihami ya NATO kuwa ni uvamizi dhidi ya usalama wake na kusema itachukua hatua za kiufundi na kimkakati Urusi imeutaja uanachama wa Finland katika jumuiya ya NATO kuwa ni uvamizi dhidi ya usalama wake na kusema itachukua hatua. Msemaji wa...
  10. Sky News: Finland Officially joins NATO

    Finland officially joins NATO, as Russia says it may have to respond Finland shares a 1,340km (832-mile) border with Russia, so its entry will more than double the size of NATO's border with the nation. Finland applied to join NATO in May 2022, setting aside years of military nonalignment to...
  11. Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

    Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza. Huyo Putin aliwahi kuwatisha...
  12. Finland kuwa mwanachama rasmi wa NATO kesho Aprili 4, 2023

    Ofisi ya Rais wa Finland imetangaza kuwa Finland itakuwa Mwanachama rasmi wa NATO ifikapo kesho. Tangazo hilo limethibitishwa na Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg. Akizungumza kutokea jijini Brussels Bw.Stoltenberg amesema "Tutapandisha Bendera ya Finland kwa mara ya kwanza hapa kwenye...
  13. Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

    Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya. Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni...
  14. Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  15. Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
  16. Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  17. Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

    Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina mpaka na Urusi wenye kilomita 1,271.8 km, hiyo ni zaidi ya umbali wa Dar hadi Kigoma au Dar hadi...
  18. Finland, Sweden zile speed za kujiunga Nato zimeishia wapi?

    Salama wandugu, Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
  19. Finland yafunga mpaka wake kwa Warusi wanaokimbia usaili jeshini

    Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine. Wachague kwenda kufa au jela miaka kumi.............................. Kuna taarifa vijana...
  20. Mataifa yaliyoizunguka Urusi kuzuia Warusi wanaopita mipakani kwa mamilioni

    Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana. ========= European Union foreign ministers have agreed to suspend a visa agreement with Moscow, making it harder for Russian citizens to obtain entry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…