Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku wakipuuza mkwala mbuzi kutoka Moscow.
Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
Rais Vladimir Putin amesema Urusi itajibu ikiwa NATO itapeleka Vikosi na Miundombinu katika Mataifa ya Sweden na Finland baada ya kujiunga na Muungano huo
Ameeleza, Nchi yake haina shida kama Sweden na Finland zinataka kujiunga NATO, Mataifa hayo lazima yaelewe kwamba hakukuwa na tishio awali...
Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi.
Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul
FUATILIA...
Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia wa nchi hizo.
Wamesema kuomba huko na iwapo hatimae watakuwa wanachama wa umoja huo utaondosha...
Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa ambapo mchakato huu huchukua mwaka mzima kumalizika.
Tumeshuhudia England ikiwekeana mkataba wa...
Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km
Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya wasijiunge NATO na wala wasimsaidie Ukraine, ila huyo Finland amekua akikiuka hiyo amri kwa kumsaidia...
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.
Finland ambayo inashirikiana...
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari...
Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya.
Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'.
Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia...
Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa.
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia...
Buheri Wadau,
Madayaspora mlio ng'ambo hasa nchi za Scandinavia au mnaofahamu na kujihusisha na kuonganisha wafanyakazi nje kwa mikataba mifupi,
Naomba kuonganishwa na agency wanaofanya recruitment ya wafanyakazi Mashambani ( kuvuna na kupanda strawberries, cabbage n.k).
Ninashukuru kwa...
Taa ya tahadhari umekwisha washwa na Denmark kwa kuondoka nchini. Huu ni uamuzi mgumu sana kwa nchi ambayo imetufadhili tangu uhuru. Miradi mingi sana imejengwa kwa ufadhili wa Denmark. Kumbukeni walivyoisaidia nchi hii katika elimu ikiwa ni pamoja na elimu ya watu wazima, ujenzi wa shule na...
Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi wawe na fursa kuwa na familia zao kwa muda mrefu zaidi na kufanya mambo mengine ya jamii ikiwemo michezo na utamaduni.
Marin, akiwa kiongozi mkuu wa serikali mdogo kuliko wote duniani...
AFRICAFE - WHAT IS IN A BRAND?
By Winfrith Hikloch Ogola
Tanzanian instant coffee Africafe, in its red-brown-gold tins or plastic packages, used to be a well-known brand in Finland and other Northern European cities. It was promoted through intensive efforts by various well-wishers. Its main...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.