fiverr

Fiverr (Hebrew: פיברר‎) is an Israeli online marketplace for freelance services. The company provides a platform for freelancers to offer services to customers worldwide.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Geuza simu yako kuwa ofisi yako. Tumia bando kupata pesa mtandaoni

    Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni: 1. Kufanya Kazi huru (Freelancing): - Unaweza kutumia majukwaa kama Upwork, Fiverr, na Freelancer kutoa...
  2. Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  3. Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

    Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa. Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako...
  4. Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr (Approved Method)

    Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana. Lakini...
  5. Nanunua Positive Reviews Upwork na Fiverr

    Habari wakuu, kama una account ya Upwork au Fiverr ya zamani iliyowahi kununua bidhaa au huduma niko interested kukulipa unipe review kwenye account zangu. Kwa wale wa Upwork ntakulipa, halafu wewe utaweka nusu ya pesa Upwork then utapost tangazo la kazi kule, mimi Nita apply na kuifanya...
  6. Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  7. Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  8. Easy Skills Kuanzia Kama Freelancer (Fursa Kwa Wote)

    What's Up, Guys! :) Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira. So, nimeona nifanye...
  9. Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  10. Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

    Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business. Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…