youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.
Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.
Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza
Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala Upwork.
Nitakuonesha njia nilizotumia kuwapata
1. LinkedIn. Huku Shukuru anapaita kwa wacheza gofu.
Tengeneza profile yako vizuri: bio, banner, experience, skills.Connect na watu wa USA, Canada, UK. wanaohusiana na niche yako
Search: “Founder, Marketing Manager, Agencies, CEO”
Watumie DM
2. Medium
Andika articles zinazofundisha kuhusu kile unachofanya (mfano: “How to grow web3 social media community”)Weka call to action na portfolio yako
Subiria maajabu DM.
3. JamiiForums: Wateja wa East afrika
Nimepata wateja wengi wa Tanzania kwa kuandika nyuzi nzuri kuhusu huduma ninazotoaWatanzania wengi wanaingia kule kutafuta suluhisho — ukiandika vizuri, unapata DM nyingi
JamiiForums ni underrated
4. Reddit: wateja wake wengi ni wa Nje.
Tafuta subreddits zinazohusiana na niche yako:r/freelance, r/Entrepreneur, r/Marketing, r/SmallBusiness
Post case studies, how-to guides, au jibu maswali ya watu
Weka CTA “If you need help with this, feel free to DM.
5. Quora: Uliza na kujibu maswali
Tafuta maswali yanayohusiana na huduma zako Jibu kwa details, onyesha wewe ni mtaalamuHuku unaweza kupata clients hata mwaka mmoja baada ya kupost.
6. Pinterest
Tengeneza graphics za kazi zako Tumia keywords kwenye description (mfano, “Social media content creator)Weka link ya WhatsApp au Medium kwenye kila pin.
7. X (Twitter)
Andika threads za kufundisha kuhusu huduma zakoPost samples za kazi kama tweets
Connect na freelancers, founders, small biz owners
Tuma DM’s
8. Facebook Groups
Jiunge na groups za freelancers, business owners, digital marketingPost case studies, offer tips, comment kwenye posts za watu
Share value watu watakutafuta DM
9. Wateja wanavutiwa na unachokifanya kabla hata hawajaongea na wewe.
➡️ Jenga brand➡️ Weka samples
➡️ Toa elimu
➡️ Weka call to action
Kwa consultation, mafunzo au unataka huduma yoyote ya freelancing/digital marketing
View my portfoliohttps://bio.link/johansen