flatei massay

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay arejea CCM, baada ya kuwasikiliza wazee wa chama

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini mkoani Manyara, Flatei Massay ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea ACT Wazalendo Massay alihama CCM wakati wa mchakato wa uteuzi wa wabunge, ambapo jina lake halikurudi katika hatua za awali. Siku chache baadaye alichukua fomu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Mbulu Vijijini achukua fomu ya ubunge kupitia ACT Wazalendo baada ya kutopitishwa na CCM

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Gregory Massay amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…