Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa barabara za juu (Flyover) Mwanakwerekwe na Amani kuondoa tatizo la foleni Zanzibar.
Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya kutoka uwanja wa ndege hadi...