flyover

  1. MPUNGA MMOJA

    Flyover yazidiwa, foleni yake yashangaza watu

    Leo kwa mara ya kwanza wakazi wa Dar Salaam hasa wameshangazwa na foleni ya magari katiki barabara ya Juu (Flyover). "Tumekua tukiamini hii jia ya juu ndio suluhisho la foleni ajabu leo tunaona nayo ina foleni" alisikia mmachinga wa karibuna eneo hilo.
  2. B

    Ujenzi flyover chang'ombe /uhasibu

    Naomba kujuzwa kuhusiana na ujenzi unaendelea wa flyover chang'ombe /uhasibu maana yangu ni kuwa kwa nini hawa wakandarasi wakati wa ujenzi hawamalizi kwanza upande mmoja ili kupunguza msongamano ndio waendelèe na mwingine kuliko upande mmoja haujaisha wao wameshanza mwingine msongamo inazidi...
  3. Mathias Byabato

    Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

    Tulikotoka Ujenzi wa daraja hilo lililopewa jina la Mfugale ulioanza miaka miwili iliyopita umegharimu Sh bilioni 92 hadi kukamilika kwake, huku Serikali ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la nchi hiyo (JICA) likichangia Sh bilioni 26. Jina la Mfugale limetokana na jina la Ofisa Mtendaji...
Back
Top Bottom