Brand deal ya Sh600,000 sasa imegeuka kuwa kesi inayoweza kubadilisha namna Kenyan content creators wanavyoshughulikia music katika paid advertisements.
Actress na content creator Foi Wambui ameshindwa katika jaribio lake la kuondolewa kwenye kesi iliyowasilishwa na musician Mutoriah, anayesema...