Brand deal ya Sh600,000 sasa imegeuka kuwa kesi inayoweza kubadilisha namna Kenyan content creators wanavyoshughulikia music katika paid advertisements.
Actress na content creator Foi Wambui ameshindwa katika jaribio lake la kuondolewa kwenye kesi iliyowasilishwa na musician Mutoriah, anayesema wimbo wake Beta ulitumika bila ruhusa katika advert ya Oppo Reno 12 5G mwaka 2024.
Mutoriah anadai hakutoa ruhusa wala synchronisation licence (sync licence)—ruhusa inayohitajika wakati copyrighted music inaunganishwa na visual content kwa matumizi kama commercial advertisement.
Foi, kwa upande wake, amesema alikuwa independent contractor na content yake ilipaswa kupitia review na approval ya Oppo. Hoja yake ni kwamba responsibility ya kuhakikisha rights zinazohitajika zimepatikana ilikuwa upande wa brand.
Lakini Oppo imepinga hilo.
Kampuni inasema ilitumia Aifluence Limited kusimamia campaign na haikumwelekeza Foi kuhusu wimbo wa kutumia. Agency hiyo pia ni defendant katika kesi hiyo.
Hapo ndipo kesi hii inakuwa muhimu kwa creator economy ya Kenya.
Influencer anaweza kupewa brief na agency, content ikaidhinishwa na brand, kisha ikachapishwa kwenye account yake.
Copyright ikivunjwa, nani anabeba liability?
Ni creator aliyeweka content online? Agency iliyosimamia campaign? Au brand iliyolipia na kuapprove advertisement?
Mahakama haijatoa jibu la mwisho. Uamuzi wa sasa unasema tu Foi hawezi kuondolewa katika kesi katika hatua hii; maswali ya nani alichagua Beta, nani aliapprove final content na nani alikuwa responsible kupata licence yataamuliwa katika full trial.