foleni asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Baada ya mabasi ya mkoani kuanza kutumia Stand ya Magufuli, wakazi wa Goba–Njia Nne tujiandae na ongezeko kubwa la foleni asubuhi na jioni

    Kuanzia leo asubuhi, mabasi yote yanayosafiri kwenda mikoa ya Kaskazini, ikiwemo Tanga, Kilimanjaro na Arusha, yameanza safari zake kutoka Mbezi Stand ya Magufuli. Kwa utaratibu huu, mabasi hayo yanapotoka Mbezi yanapita Goba – Njia Nne – Madale – Tegeta, kisha yanaendelea na safari zake kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
Back
Top Bottom