Hii tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa barabara Kubwa mfano ya Mwanza kwenda Musoma, unazuia mabasi na magari yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2.
Kama mnapenda kutumia barabara peke yenu tengenezeni lane za Kutumia...