KERO Hizi foleni za Mwenge zimekuwa too much sasa

KERO Hizi foleni za Mwenge zimekuwa too much sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Foleni ya Mwenge hali inazidi kuwa mbaya

Bado kipande cha Mlimani City imekuwa kero

Mtu unakaa kwenye foleni ukijaribu kuchomekea tu uwahi nyumbani faini inakuhusu

Kwa hali inayoendelea Dsm ni kwamba hili taifa limefeli, Trafiki wamefeli.
 
Gari zinasimama kabs hazitembei,tuna miaka miwili ya kusubiri mwendokasi ikamilike kuwe sawa
 
Foleni ya Mwenge hali inazidi kuwa mbaya

Bado kipande cha mlimani imekua kero

Mtu unakaa kwenye foleni ukijaribu kuchomekea tu uwahi nyumbani faini inakuhusu

Kwa hali inayoendelea Dsm ni kwamba hili taifa limefeli, Trafiki wamefeli.
bila kapicha?
 
Mama mitano tena.
 
Project za ujenzi zimesimama hakuna mafundi saiti. PESA akuna
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mtu una ndinga na A/C ndani na unalalamika… Sasa sijui waliopo kwenye daladala wana hali gani… Anyway atleast matajiri wakilalama ndo changamoto inatatuliwa chap… Maskini huwa anaonekana tu kisirani.
 
Unajenga mjini halafu unabomoa kila mahala baada ya kufanya moja unamaliza unahamia nyingine nk ili angalau watu wapate pakupita.

Ujenzi wa mjini inahitaji mipango madhubuti, fedha ya kutosha, kandarasi wenye vifaa na mitaji mikubwa, speed ya ujenzi inapaswa kuwa kubwa.

Ukiangalia pia unagundua hatuna mipango ya muda mrefu, Barabara iliyojengwa miaka mitano iliyopita inajengwa tena leo.

Kwa kero wanazopata wananchi wa Dar es salaam ilipaswa kabisa, CCM wasipate hata kura moja hapo Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom