Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!
Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale...