HOJA Kwa hii foleni inayoendelea Kimara Mwisho, Je tumekubali kama taifa hatuna akili hata moja??

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Wakuu habari zenu!

Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!

Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bonyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!

Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!

Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!

Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?

NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
 
Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!

Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!

Tanzania hatua iliyofika ni mbaya. Wananchi na viongozi wote wameshakubali uzembe na uvivu ni sehemu ya maisha. Bado kuna vingine.... kukosa umakini, kuzoea matatizo kiasi ambacho watu wanaona ni maisha ya kawaida.
 
Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!

Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!

Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!

Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!

Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?

NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
ah aha ha we ndo umegundua.leo. yaani.watu.wanajipandishia.bei ya cement na hakuna wa kukohoa. Tanzania inaongozwa na wehu
 
Hapo kulitakiwa kuwe na barabara nyingi za kupita nyingine zingeunga Gongo la Mboto, Kisarawe, Mlandizi, kuondoa pressure ya kila mtu kupitia Kimara na Kibaha, nyingine zingechonga kutoka huku Mbezi/Mbweni/Vikawe mpaka mbele kabisa, unapanua mji, unaweka ring roads za kutosha.

Ila watu wanakulakula pesa tu.
 
Ila ajabu ni kuwa kabla ya huu ujenzi usioleweka unaoendelea, hakukua na foleni hapa. Sijui foleni imekuja sababu gani aisee!!

Nipo korogwe resort hapa muda huu
 
Tatizo la pale ni Daladala na Bajaji zinapark hovyo ila ukishavuka tu foleni labda mataa.
 
Taifa lenye vijana km Lucas mwashambwa,tilahlilah,Abu zaki.
Hakuna kitu kipya kitafanywa
Vijana wanaza kusifu na kuabudu wapate chochote kitu!
 
Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!

Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!

Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!

Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!

Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?

NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
Kibaha maili moja to Mlandizi ndio funga kazi
 
ah aha ha we ndo umegundua.leo. yaani.watu.wanajipandishia.bei ya cement na hakuna wa kukohoa. Tanzania inaongozwa na wehu
Ni huzuni mkuu, hivi huwa hawaoni hata aibu wakiona miji ya watu ilivyojengwa?
 
Tatizo la pale ni Daladala na Bajaji zinapark hovyo ila ukishavuka tu foleni labda mataa.
Kweli maana ukivuka daraja tu pale folen imeisha, sasa hata kudhibiti kupark hovyo kwa bajaji na daladala tunasubiri msaada wa watu wa Marekani?
 
Hapo kulitakiwa kuwe na barabara nyingi za kupita nyingine zingeunga Gongo la Mboto, Kisarawe, Mlandizi, kuondoa pressure ya kila mtu kupitia Kimara na Kibaha, nyingine zingechonga kutoka huku Mbezi/Mbweni/Vikawe mpaka mbele kabisa, unapanua mji, unaweka ring roads za kutosha.

Ila watu wanakulakula pesa tu.
Hakika huku kutegemea barabara moja ni ujima usioelezeka, pakitokea janga lolote na usafiri wa kuingia mjini wote unasimama!
 
Hata kiusalama maana yake hapo kuuteka mji ukishika barabara chache umeshaukata mji na nchi nzima.

Nchi kama Marekani Rais Eisenhower aliangalia mifumo ya barabara akaona hapa kuna strategic security bottleneck, akajenga mfumo wa interstate highway za kuunganisha nchi nzima, tena zenye backupa za kutosha, miaka hiyo ya 1950s

Question.

When and why was the US interstate highway system started?

Answer (Meta AI)

The U.S. Interstate Highway System was started on June 29, 1956 — when President Dwight D. Eisenhower signed the Federal-Aid Highway Act of 1956.

It is officially called the Dwight D. Eisenhower National System of Interstate and Defense Highways.

Why it was started — 4 converging reasons:

1. National defense — Eisenhower's core motive
As a young Army officer in 1919, Eisenhower took 62 days to cross the U.S. on the terrible Lincoln Highway. As Supreme Commander in WWII, he saw the German Autobahn move armies efficiently.

He wanted a way to quickly evacuate major cities in case of atomic attack and move troops, tanks, and missiles across the continent. The law required 1 mile in every 5 miles be straight and flat enough to be used as an emergency airstrip — that's still a myth that it was all designed as runways, but the defense requirement was real.

2. Safety and traffic
By 1955, there were 37,000+ traffic deaths a year on narrow, two-lane U.S. 1, U.S. 66 and other old highways. Congestion was strangling post-war economic growth.

3. Economic boom and suburbanization
The car ownership explosion — from 25 million cars in 1945 to 52 million in 1955 — plus trucking industry lobbying, demanded limited-access, high-speed roads connecting markets. No traffic lights, no cross traffic.

4. Jobs and politics
A $25 billion program ($270B in today's dollars) — the largest public works project in U.S. history at that time — was hugely popular as a jobs and construction program. The 1956 Act created the Highway Trust Fund paid for by a federal gas tax to pay for 90% of interstate costs, states pay 10%.

Construction began immediately. The first stretch credited is often marked in Missouri (I-70) and Kansas, laid in 1956. The system was declared essentially complete in 1992, though we are still adding to it — today it's 48,876 miles.

Eisenhower later said it was one of the things he was most proud of, alongside ending the Korean War.
 
Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!

Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!

Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!

Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!

Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?

NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
Ujinga wa baadhi ya viongozi kuzuia mabasi makubwa kuingia mjini kwa maslahi binafsi, basi moja kubwa linabeba watu 60, ukizuia mabasi ukaruhusu bajaji maana yake watu 60 wa bus wanazalisha bajaj 20 kwenye foleni, hapo tayari ni tatizo
 
Back
Top Bottom