Wadau naomba kuuliza hili swali kwa wakazi wa Dar, nataka kufahamu kama kuna improvemet yoyote kwenye kupunguza foleni hapa Dar.
Mimi binafsi naona kama kuna ahueni tofauti na Zamani, maana unaweza kutoka Buza Sigara kwenda Kariakoo na ukatumia Dk 20. Lakini zamani ilikuwa unatumia kama saa...