foleni

  1. mkiluvya

    Daraja la New Selander litapunguza adha ya foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi

    Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
  2. J

    Ni ujinga uliopitiliza kupanga foleni kumpigia kura mgombea wa CHADEMA/upinzani wakati msimamizi wa uchaguzi ni kada wa CCM

    Wananchi ni lazima tujue kwamba katiba ya JMT ndio inayobariki ushindi wa CCM. Na kiukweli ukiangalia maeneo ambayo upinzani huwa unashinda mara nyingi inakuwa ni ulegelege wa mkurugenzi ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi au huruma tu ya CCM yenyewe. Ni wale wananchi wapenda mageuzi mkaendelea...
  3. Parabora

    Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

    Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye...
  4. The Mongolian Savage

    MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  5. G Sam

    Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  6. T

    Siamini nilichokishuhudia: daladala level seat, hakuna foleni, hakuna kelele, abiria hawasukumani, makonda hawatukani, unafika haraka unakoenda

    Hata kama corona ikiisha halafu mtu akatangaza kuwa sasa daladala zinaruhusiwa kujaza watu kama magunia kama ilivyokuwa mwanzo nitamshangaa sana. Kila mtu kukaa kwenye seat yake ni tija kwa afya ya msafiri, kiakili, kimwili na kisaikolojia. Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala na kwenda...
  7. Gily Gru

    Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
  8. FRANCIS DA DON

    Baada ya kukaa masaa matatu kwenye foleni, nauliza, hatuwezi kujenga flyover juu ya Mfugale bridge?

    Nimeona niulize hili baada ya kukaa kwenye foleni kwa takriban masaa matatu kutoka Bandarini hadi kuvuka Tazara.
  9. J

    Abiria wa treni Dar - Moshi walalamikia ukatishaji tiketi wadai foleni ni ndefu sana

    Abiria wa treni ya Dsm kwenda Moshi wamemuomba mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa kuwaboreshea Huduma za ukataji tiketi kwani abiria ni wengi na foleni ni ndefu sana. Abiria hao wamedai kipindi hiki shule zimefungwa na wananchi wengine wanaenda nyumbani kula sikukuu za mwisho wa mwaka na treni...
  10. FRANCIS DA DON

    Kuna foleni ya kishenzi sana hapa Kawe round about!

    Nashindwa hata kuongea yani..
  11. Wick

    Ondoa gari inayosababisha foleni

    Moja kati ya gari hizi 7 ndio inayosababisha foleni na ikitolewa basi foleni nzima itapotea. Je, ni gari namba ngapi ya kuitoa?
  12. Roving Journalist

    Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  13. Kaka Pekee

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Back
Top Bottom