fomu za maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  3. JamiiForums Tanzania Polepole amshauri Rais Samia Kujaza Fomu za Maadili za viongozi na Mali zao ! Ashangaa kama Magufuli alikua anajaza , kwann Samia hajazi?

    Mwisho , ataja utakatishaji wa PESA KAMA matokeo ya Samia kutokwenda Kujaza Fomu hizo !!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilipaswa Msajili wa vyama vya siasa ndio asaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya vyama vyote, Wagombea ni Watu siyo Chama!

    Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…