Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi.
Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
Wakuu
Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM.
Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo ambayo imekuwa kero Kwa wananchi wa eneo Hilo
Mhe. Asenga ameyasema hayo Februari 2,2025 Wilayani...
Mpo Salama!
Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo.
Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake
Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
Wakuu,
Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti
Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe
Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
CCM hakuna mtu anawanyima usingizi kama Lissu. Hata siku ile Lissu anachukua fomu CCM walipata taabu sana. Wanamjua Lissu kuwa si mwepesi wa kukubali ujinga kwa lugha yoyote ile. Wakati ule maridhiano yakiendelea, Lissu aling'amua mapema kuwa kinachoendelea kwenye maridhiano ni danganya toto tu...
Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa kwenye uongozi kwa miaka nenda rudi, bali kuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu wengine kuwa viongozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa...
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
----
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...