Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Allience for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kumrithi Hamad Rashid ambaye amekiongoza kwa miaka 10 na kumaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba.
Doyo amechukua fomu hiyo leo Juni 11, 2024 Makao makuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama!
Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja.
Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na kuwataka kufahamu kwamba hii siyo Duniani ya kufundisha wakubwa kugombana.
Lema amesema suala la...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa .
Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa .
Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.
Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa.
Hali ilikuwa hivi .
Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda.
hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
Habari zenu wakuu ?
Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ?
Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.
======================
For English Audience
The 2025 political winds have already...
Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi.
Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe. Rais na nyingine sasa zinasambazwa kwa wabunge.
Walimu kwa mishahara yao ilivyo kila siku wanalalamika...
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya.
Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
Mimi Tai katika kupaa kwangu nimekutana na penyenye kuwa Uchaguzi wa TCCIA unaofanyika tarehe 07.11.2023 umeanza kupata dosari.
Viongozi wa Makao Makuu wameanza kupanga safu, ikiwa ni pamoja na kujazia fomu wagombea ambao hawakuomba nafasi hizo hadi zoezi linafungwa.
Penyenye hii inasema...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.
Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:
7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.
9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au...
Naomba kwa aliye na sample ya fomu ya kupimia afya watumishi wa mahotelini na kwenye migahawa aniwekee hapa. Ukiniwekea pdf yake nitashukuru sana. Ninafungua mgahawa, sasa kupata hizo fomu wahusika wanadengua, wanataka sh 15,000/= kwa kila fomu!! sasa kwa watumishi watano nadaiwa 75,000/=(mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.