fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Fomu za talaka zijazwe online

    Nina hoja. Ili kupunguza visa vya Wanandoa kuendelea kuwekeana chuki na kuumizana wakati wa mchakato wa kutengana kimahakama, naona ni vema fomu za TALAKA ziwekwe kwenye mifumo ya mahakama mtandaoni ili watalaki wawe wanajaza huko. Ikiwezekana maamzi yawe yanatolewa kupitia mifumo salama ya...
  2. S

    Hotuba ya Mpina imenitoa machozi akichukua fomu kugombea uspika mwaka mmoja uliopita

    NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA HALI ILIVYO SASA NA TULIA ANAVYOONGOZA BUNGE https://youtu.be/HdOl2bhdsWY
  3. K

    Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

    Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
  4. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  5. chiembe

    James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  6. Nyankurungu2020

    Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

    Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani. Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya. Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika. Tril 1.3 za foreign...
  7. Aliko Musa

    Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  8. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  9. Mganguzi

    2025 nitachukua fomu kupitia CCM na nitampinga huyo mnaetaka asipingwe

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora. Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
  10. GENTAMYCINE

    Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

    Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na...
  11. YEHODAYA

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  12. sitaki hela

    Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

    Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini? Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli...
  13. peno hasegawa

    Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  14. N

    Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  15. ryan riz

    Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  16. saidoo25

    Mpina arejesha fomu ya kuomba UNEC wa CCM Mkoa wa Simiyu na UNEC CCM Viti 15 Tanzania Bara

    a
  17. Roving Journalist

    Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
  18. MakinikiA

    Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

    Salama wandugu Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
  19. T

    Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  20. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

Back
Top Bottom