Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu.
Mafuta hayo inasemekana yamenunuliwa katika duka la mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Kamau maarufu kama Mangi.
Hali hii leo mbona kazi ipo!
Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni yetu sote.
Nikajikoki pale ndizi ya mia mbili na juisi ya muwa. Nikaketi taratiibu nijipimie...
Wakuu weekend inaendaje?
Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali.
Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.