Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula[emoji1787] maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
2. SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako kwa sababu huyo rafiki...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama Lewis Hamilton, Max Verstappen nk wakionesha ubabe nyuma ya steering.
Ukichukulia poa, utasema vile...
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix.
Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time ilikua 1934 na last time ilikua 1993.
Lewis Hamilton, amewahi sikika akisema ktk moja ya interview...
Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
Hello wanajamii,
Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara.
Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk
Enjoy.
Kama una...
kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa...
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari.
Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
Kuna kitu kinanichanganya sana juu ya haya maziwa mbadala (Formula), je ni kweli yapo sawa tu na ya mama? Yaani mtoto aliyetumia Formula na aliyenyonya kwa mama yake hakuna aliyemzidi mwenzake virutubisho maana kumekuwa na mgongano wa hoja mitaani wengine wakidai yanatofauti huku wengine...
Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel.
Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box.
1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit 1, 2.2 ni box 2 na unit 2, n.k.
Box zikiwa 10 zikitoka 4 jibu liwe 6
Box zikiwa 8 zikitoka 3.3...
Zanzibar imeibuka kuwa mshindani jasiri wa hafla ya Kiafrika kwenye kalenda ya mchezo wa magari ya Formula 1. Kwa kuungwa mkono na serikali, washindani wanaoheshimika, na wasimamizi wa michezo, kuna makubaliano ya pamoja juu ya umuhimu wa kuleta tukio hili la kusisimua katika bara.
Dhana hadi...
Wakuu habari za usiku..
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema.
Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika.
Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
Hatua za ukuaji wa mtoto huambatana na mabadiliko mengi ya kimwili. Mojawapo ya mabadiliko hayo ni kung’oka kwa meno ya awali na kuota kwa meno ya kudumu.
Mdau wa JamiiForums ametoa hoja kuwa meno ya mtoto mwenye umri kati ya miaka 6-7 yanapotingishika kisha yakaendelea kukaa pasipo...
Habari!
Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio).
Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na pesa au mafanikio. Mchezo wa kusaka pesa (money game) ni wa milele. Mtu huacha kuwaza pesa pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.