formula

  1. zagarinojo

    Je, Mafanikio yana Formula? Kufanikiwa ni mbinu au bahati?

    Habari Wana Forum, naimani mu wazima wa afya. Kabla sijaanza naomba radhi kwasababu ntatumia code mixing na code switching Ili kurahisisha ujumbe. Kila mmoja ana jinsi yake ya kudefine na kuyaelewa Mafanikio. Lakini nijikite zaidi kwenye Mafanikio ya kiuchumi. Kichumi lakini pia kwa mtu...
  2. Bushmamy

    Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua. Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
  3. LIKUD

    Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri. Natoa mifano kadhaa. 1. Dini. Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI. Maana...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Maisha hayana formula lakini yana siri nyingi! Angalia hizi 11, kama zitaweza kukufaa

    MAISHA HAYANA FORMULA LAKINI YANA SIRI NYINGI! ANGALIA HIZI 11, KAMA ZITAWEZA KUKUFAA 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza "connection" na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha Kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate...
  6. Bavaria

    Formula 1 Official Thread

    Welcome to the Formula 1 official thread. Anything related to F1, you are welcome. Teams: 1. Red Bull Racing 2. Ferrari 3. Mercedes 4. Alpine 5. McLaren 6. Alfa Romeo 7. Haas F1 Team 8. Alpha Tauri 9. Aston Martin 10. Williams Timu yangu ni Red Bull Racing.
  7. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  8. Crocodiletooth

    Maisha hayana proper formula lakini vipo vya kuzingatia

    CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
  9. industriousman

    SoC01 Deni la milioni 10, halafu maisha hayana formula

    Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha kama ambavyo wasomi wanapishana na MAFANIKIO YA NDOTO ZAO kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR,huzuni...
Back
Top Bottom