Moja ya maeneo yanayokusanya watu wengi, hasa nyakati za jioni visiwani Zanzibar, ni Forodhani Garden, ukubwa wake si zaidi ya kilomita moja za mraba, lakini hubeba melfu ya wageni wa ndani na wa nje ya Tanzania.
Upekee wa bustani hii ni uwepo wa vyakula vya aina mbalimbali, vikiwemo vya asili...