forum

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. mcTobby

    Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  2. drugdealer

    Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
  3. Pascal Mayalla

    Live from Stanbic Biashara Incubator,Acacia Building: Policy Forum Breakfast Debate: Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget

    Wanabodi, Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget. Hapa tunajadili jinsi Tanzania tunavyoibiwa mi fwedha ya kutosha kupitia...
  4. DR Mambo Jambo

    PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Je Unaikumbuka Jamboforum? Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum.. Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
  5. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  6. DMmasi

    HIVI JAMII FORUM WAMEANZA KULIPA KAMA KWA ELON?

    Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
  7. J

    ❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM!

    ❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM! Tunaweka msingi wa kuwatambua vijana walio mstari wa mbele katika kufanikisha maono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mustakabali wa Taifa letu. Hii inatufundisha kuwa kila kijana ana nafasi ya kuleta mabadiliko chanya katika...
  8. M

    Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality life baada ya kufa. Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja jishikiza kwenye...
  9. W

    Walimu wangu wananishauri nikasome BSc with Wducation UDSM. Nifanye nini?

    Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry. Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na mwaka mmoja ndo tunasomea ualimu. Sasa nimemaliza advance mwaka huu 2024 na nimepata division one ya...
  10. Prof_Adventure_guide

    Habari wana Jamii forum, kuna swali hapa na zawadi itatolewa kwa atakaepata 👇🏾

    In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very Satisfied | Satisfied | Neutral | Dissatisfied | Very Dissatisfied |...
  11. Makox

    Ujumbe wa shukran kwa WanaJamiiForums

    HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM! Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi hivyo kuwaomba ushauri wa namna yoyote ile. Kwa post hii ya Leo...
  12. tian

    Subaru Owners Forum

    Habari ya mchana mabibi na mabwana Natafuta forum / group la wamiliki wa vyombo vya Moto aina ya Subaru. Naomba link niweze kujifunza matunzo ,engine oil, garage,genuine parts etc Asanteni
  13. Symon Samba

    Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume

    Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume. Utafiti wa hivi karibuni unaoangazia uhusiano kati ya unywaji wa kahawa na hatari ya saratani ya tezi dume ulijumuisha data...
  14. The patriot man

    Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

    Kwema wakuu KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi. 1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications. 2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
  15. Gabeji

    Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

    Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia jukwaa letu pendwa la Jamiiforums, muda ni kidogo sana kama kawaida yangu ya kuendelea kutoa ushauri...
  16. T

    Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

    Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
  17. L

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  18. covid 19

    Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

    Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
  19. Moaz

    Coder anayeweza kutengeneza Forum Kali.

    Nahitaji Coder anayeweza kucoding au kumodify CMS vizuri nataka tufanye kazi ya kutengeneza Forum. Ukiwa interested nicheck
  20. JamiiForums

    Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
Back
Top Bottom