Habari wanajukwaa,
Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye...