Muswada huo uliosubiriwa sana kudhibitisha mwisho wa faru wa CFA ulipitishwa Jumatano na Baraza la Mawaziri la Ufaransa. Hii ilifunuliwa na msemaji wa serikali ya Ufaransa, Sibeth Ndiaye.
"Ilikuwa wakati wa ziara rasmi ya Ivory Coast mnamo Desemba 2019 kwamba (Rais Macron na viongozi wa...
Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016
Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya...
It was alleged that Felician Kaguba was the one who was supplying the government of Juvenal Habyarimana and the deadly Interahamwe with machettes.
He was the " Reginald Mengi" of Rwanda during the reign of Habyarimana.
He has been at large since 1994.
For a very long time, rumours has it that...
Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya.
Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea.
Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.