frank nyalusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa mjini, Frank Nyalusi afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za Kifo chake zimethibitishwa na Viongozi wa chama hicho mapema hii leo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Frank Nyalusi: Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba. "Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…