The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za Kifo chake zimethibitishwa na Viongozi wa chama hicho mapema hii leo ambapo wanasubiri taratibu za kifamilia ili kuweza kutoa Ratiba ya mazishi.
Marehemi Frank Nyalusi amewahi kitia nia kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini mwaka 2020 ambapo aliishia katika hatua za kura ya maoni akishika nafasi ya tatu.
Chanzo Jambo TV