Simba hawana uongozi wenye weledi Wala kocha wa level ya Simba, labda nianze kwa kusema hivyo.
Freddy Michael fungafunga wametangaza kutaka kumuuza kwa timu ambayo hawaijui kama itamsajili baada ya kufaulu vipimo, lakini kabla ya kumuuza tayari wameleta mchezaji mpya wa kigeni (Ateba) kuziba...