free

  1. Geza Ulole

    When Uhuru is drunk of Ujamaa and forgets Capitalistic market free economic principles on maize trade

    MY TAKE Unaamini kinachoongelewa na Mheshimiwa hapa? amekuwa Mkomunisti ghafla? Tony254
  2. Idrisajr

    Ninahitaji watu wenye idea na video production watakaokuwa tayari kujitolea kufanya project free ila kwa malengo

    Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja. Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
  3. Nkobe

    Radio Free wakatisha matangazo ya BBC baada ya Padre kufunguka ukweli kuhusu Corona

    Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
  4. C

    Nawezaje kutumia Application ya CamScanner na WPS for free

    Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa. Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo applications katika features zote for free?
  5. eliakeem

    Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

    Dunia nzima inajua ukitaka kwenda kutalii bila ya bughudha ya kushurutishwa kuvaa barakoa au mikwala mingine mingi. Dunia inajua kuna nchi moja tu iko mashariki ya Afrika ndiyo haina hayo mafua. Nayo ni Tanzania.
  6. kakamtumishi

    I phone 6s with free usb

    I phone 6s with free usb 64gb Colour:spacegrey Battery health:100 Fingerprint:✅ Price:300,000 negotiable Location:magomenii Contacts:0628954957/0712654515 Note:haina tatizo lolote
  7. Teknocrat

    Free OpenLearn courses - Open University

    Kozi za bure kutoka Open Univesity na unapewa cheti cha kushiriki mafunzo Fungua account ni bure Pendeni kujisomea kwa ajili ya CPD- Carrier Professional Development, hivi vyeti kama unatafuta kazi vitakuongezea uzito hata kama una kadgree kako...
  8. Barbarosa

    At last the deal is done, hongera free Great Britain !

    The deal is done, Uingereza sasa ni free country, Hongera sana Great Britain kwa kujinasua kutoka kwenye makucha ya Globalist!
  9. JOESKY

    Msaada wa free educational websites

    Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri. Napenda...
  10. QUALIFIED

    Naweza pata wapi free tutorials za java na JavaScript

    Habari wakuu, Naweza pata wap free tutorials za java na JavaScript complete. Kwa anaejua tafadhali
  11. S.M.P2503

    Breaches of Fundamental Freedoms and rights to Free, Fair and Credible election

    Wanabodi, kama heading inavyosomeka: TLS- Tanganyika law society na wanasheria wengine, tuleteeni Test case dhidi ya NEC jinsi walivyooendesha uchaguzi huu chonde chonde. Tunafahamu kwamba, katika katiba yetu hii ya 1977, "the legitimacy of presidential elections results cannot be questioned...
  12. RoadLofa

    Msaada: free FL Studio for Android

    Wakuu nina shida na FL STUDIO free maana nimeingia playstore ipo ya kulipia 47,000 aliye nayo tuma download link
  13. Tripo9

    Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian) Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!! Asante sana 🙏🙏
  14. kavulata

    Kwa manufaa ya Taifa na Usalama wao, Baraza la Maaskofu TEC na The Free Pentecostal Church of Tanzania, FPCT wahame Kurasini

    TEC na FPCT Ni vituo vya kidini ya kikristu vilivyoko eneo la Kurasini, Dar es Salaam. Kwasasa vituo hivi vimezunguukwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi wa bandari kuu ya Tanzania. Viko katikati ya matenki ya mafuta na makontena. Uwepo wa taasisi hizi katikati ya shughuli za kiuchumi...
  15. T

    In order to avoid chaos piracy, free and fair elections is inevitable

    Eye-gase , gunpowder, Bullets , Military, Police , cannot deal with peoples who were subjected in long periods of time. It better the government to enlightening how the multitudes decisions can be respected at the great extents. Without left any anxious . Peoples they will not agrees with any...
  16. Infantry Soldier

    Psychological Fact: Why are those who spend much of their free time (after work) on social media platforms, less talkative in real life environment?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  17. Madish Installers

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  18. Vhagar

    PC gamers Tom crancy's The division 1 sasa inapatokana free Uplay (ubisoft store) hadi Sept 8

    Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke. Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili na ulidownload bure. Lilikuwa likiuzwa kwa usd 29. Karibu 70000/= za kitanzania. Tom Clancy's The...
Back
Top Bottom