freebasics

  1. adriz

    Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  2. balimar

    FreeBasics: Lipo la kufanyiwa kazi kwa Haraka Wizara ya Utumishi

    Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma Malimbikizo ya Mishahara Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili (mseleleko ndio muafaka) Mapunjo ya mishahara yapo kwenye mfumo huo wa mshahara yaliratibiwa Hela za...
  3. C

    Jinsi ya kubadili user agent ili niweze kupata access ya freebasics kwenye PC

    Naomba kuelekezwa kubadilisha user agent katika PC niweze kutumia free basics kwenye PC
  4. Jasusi Mbobezi

    Hongera sana JPM Freebasics inatutoa

    Kwa moyo wadhati kabisa naipongeza awamu ya 5 kwa kuruhusu huduma ya Freebasics kupatikana hapa nchini kwani inatuwezesha kuingia JamiiForums bure na kutumia tovuti nyingine kama Facebook, BBC Swahili, Shule direct bure kabisa. Ingewezekana kabisa serikali kuzuia huduma hiyo, lakini kwakuwa...
  5. reyzzap

    Tembelea JamiiForums bure (bila kifurushi) kwa kutumia Freebasics

    Tusitiane njaa, internet.org (Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nchi zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg (Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013. Njoo hapa kwanza ili uelewe vizuri, Si unajua fb unaweza ukaingia bila bando? Voda, tigo na airtel kila siku wanatangaza, basi ujue yale ni...
Back
Top Bottom