Tusitiane njaa,
internet.org (Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nchi zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg (Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013.
Njoo hapa kwanza ili uelewe vizuri, Si unajua fb unaweza ukaingia bila bando? Voda, tigo na airtel kila siku wanatangaza, basi ujue yale ni...