Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
Ndugu zangu Watanzania,
Mnyonge Mnyongeni lakini Haki yake Mpeni. Ni kweli Mimi Mwashambwa Lucas ni Mwana CCM kindakindaki ,tena mwana chama lialia wa CCM.ambaye kila mtu anafahamu hilo popote pale niwapo.
Lakini Ukweli ni Kuwa sisi wana CCM tuna Amini kabisa kuwa kama kuna mtu amewakuza...
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi...
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa...
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.
Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya...
Salaama wakuu
Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono.
JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
Watanzania wote tunaamimi wewe ni mtu sahihi kupeperusha bendera ya Chadema kama mgombea urais 2025.
Wakati ni sasa tangaza nia mapema na sisi tunaotakia mema taifa hili tutakuunga mkono.
Umeonesha ukomavu mkubwa wa kiuongozi na namna unavyoiishi demokrasia kwa vitendo.
Chadema inaenda na...
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all...
Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika
Ahsanteni
Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake.
Tundu Lisu ni tofauti yeye ni mwanaharakati na Tanzania Kwa sababu ilishajipatia Uhuru wake Kutoka Kwa Mkoloni...
Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania...
Mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza.
Soma: Lema...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Tulizungumza (Yeye na Freeman Mbowe) baada ya matokeo kutangazwa na muda...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA...
Niweke wazi msimamo wangu toka awali, kwamba nilikuwa naunga mkono uongozi wa ziada wa Freeman Mbowe kwa miaka mingine mitano.
Lakini zaidi ningependa aondoke kwa kupewa heshima anayostahili, sio kubezwa na Kupakaziwa matusi kama vile yeye ni stranger CHADEMA.
Kampeni za kumuondoa zimejaa...
Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.