Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali.
Umeitwa mla rushwa.
Umeitwa pandikizi la CCM.
Umeitwa Mugabe.
Umeitwa Nkrunzinza.
Tumeambiwa...
Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa aliyefariki ndiyo alikuwa anasababisha mahindi yawepo, baada ya muda nyani nao walikufa njaa vibaya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa...
Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani
==
Freeman Aikaeli
Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani...
Askofu Benson Bagonza anaandika...
"Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama mmeshinda lakini sina pa kukata rufaa. Mwaka huu nina bahati sana. Makamu wote wa vyama vikubwa ni watani...
Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi.
Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila ama cha kifamilia. lakini kwa sasa baada ya uchaguzi na viongozi waliopatikana sasa hoja hii imekufa...
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025
Soma, Pia: Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.
"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti.
Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo shutuma za ajabu ajabu toka kwa aliekuwa Makamu Mwenyekiti wako.
Kwa maoni yangu, ni vyema ukaachana...
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.
Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu
"Ngojeni nikapige mzigo...
Wakuu,
Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi.
Mbowe asema...
Freeman Aikael Mbowe
Freeman Aikael Mbowe, kiongozi mwenye msimamo thabiti na maono makubwa, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mara ya kwanza mwaka 2004. Kwa takriban miaka 21, Mbowe aliongoza chama hicho kwa ujasiri na ustadi mkubwa, akifanya kazi...
Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho tulimtaka sana Mbowe. Hatujawahi mtaka Mbowe awe Mwenyekiti kama ilivyo sasa.
Kwa niaba ya wenzangu wakunja...
Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea Chadema
Jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya Television ya uchaguzi wa Chadema,nilivutiwa na...
Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa?
Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029
John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029
Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni...
Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa.
Lakini kipekee nimpongeze Mbowe kwa kujenga Taasisi ya CHADEMA na kumaliza kipindi chake kwa kuionyesha Dunia maana ya...
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana.
"Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
freemanmbowe
godbless lema
lissu ashinda chadema
maslahi
maslahi ya taifa
matokeo ya uchaguzi
ndugu
taifa
taji
tundu lissu
uchaguzi chadema
uenyekiti chadema
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.
Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?
Au ni uchovu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.