Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA
Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri...
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?
Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?
Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?
Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?
Comments ziwe fupi fupi sana.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
Wakuu,
Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi?
Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa...
Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro
source
https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia
Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme Wateule wa Mungu wa Mbinguni
Nimeona Kipawa Kipaji na Karama ndani ya Freeman Mbowe pekee katika...
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya Taifa aliyoihudumu kwa zaidi ya miongo mitatu mapema mwezi ujao.
Habari za chini chini toka CHADEMA...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa...
Wakuu salaam, Naomba msaada juu ya uhalisia wa taarifa hii inayosambaa mtandaoni kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ni mahututi na amepelekwa Afrika kusini kwa ajili ya matibabu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama...
Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
ally hapi
chadema
chadema na polisi
freemanmbowe
hapi
kuelekea 2025
maandamano
maandamano ya chadema
majeshi
mbowe
miaka
miaka 25
pigo
tundu
tundu lissu
vyama vya upinzani
watu wasiyojulikana
Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024.
Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja
Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania(TCD) Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema wamekuwa na majadiliano ya mara kwa mara na serikali lakini makubaliano ya majadiliano hayo yamekuwa hayatekelezwi.
Pamoja na wadau mbalimbali katika...
Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.