Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata vijana 13 wenye umri kati ya miaka 17 hadi 32 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuandika ujumbe...
Mzuka wanajamvi!
Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.
Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.
Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa...
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂
Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂
Anyway,
Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule
Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja
Kwasasa dini zetu
. Ni...
Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason.
Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki...
Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote.
Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho.
Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa ufreemason unaozungumzwa hapa si ule wa kwenye nguzo za umeme. Ni ule wa watu wenye fikra huru wanaokusanyika pamoja ili kuboresha maisha ya binadamu.
Kwa nini nauliza iwapo Shaaban Robert alikuwa ni freemason? Kuna huu ushahidi.
1. Nilikuwa nasoma kitabu cha...
Freemasons ni kikundi cha siri kinacho ratibu na kuongoza kila kitu katika hii dunia. Kikundi hicho cha siri huratibu mambo yake kwa kushirikiana na baadhi ya wawakilishi wake wachache katika kila nchi. Unaweza kuona mambo yakiwa yanaendelea kutokea katika dunia kama kawaida lakini kuna siri...
Habari zenu ndugu zangu.
Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa.
Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi.
Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san
Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga.
Kama...
Vyuma vikikaza sana watu huerevuka zaidi na kutafuta kila namna ya kutoka kimaisha ama la walau watoto waende chooni.
Kuna werevu mbaya usio na baraka za mamlaka, huu huitwa utapeli na kuna werevu mbaya lakini wenye baraka za mamlaka, huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine tuu lakini umepakwa...
Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi.
Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani.
Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam.
wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa.
Huwezi Jua labda Deiwaka ni laki moja kwa siku.
Kitu cha kwanza kitakachokupa nguvu katika dunia hii ni elimu. Utake usitake elimu ina nguvu kuliko kitu chochote kwenye hii dunia. Kwa nini Mafreemason na Illuminat wanaitawala hii dunia? Ni kwa sababu wamesoma sana. Wanajua mambo mengi mno.
Ukikutana na Freemason mwenye digrii 33 na akaanza...
Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.
Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana.
Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu...
Kwa miaka mingi watu wengi wamekua wakitamani kujiunga na illuminant (Frères-Maçons of Zion). Ila wengi wamekua hawaelewi ni nani kiongozi aliye juu ya taasisi hii nyeti sana dunia.
Wengi wanatamani kujiunga Illuminati ili kutafuta majina, kupata nguvu na ushawishi kwenye public, kuwa na...
Shikamoo /Mambo.
Kwa mnaofuatilia story yangu ya YULE MZEE ALIHARIBU MAISHA YA MABINTI WENGI ILA YA KWANGU ALIYAHARIBU NA KUYATENGENEZA MWENYEWE ep. 4 niliandika nilivyoenda Ulaya kwa mara ya kwanza ila nikashindwa maisha ya kule nikarudi zangu.
Ilikua ni Sweden na ilikua January ambapo winter...
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania.
Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.