Kama Matahira ... Huwa hatuna tunalojua. Tunapewa na kupokea na kushika kidedea. Upinde wa Mvua upo miaka mingi kabla hata Ushoga hauja wa maarufu.
Leo ukiona mchoro au picha ya upinde wa mvua mtu anakwambia ni ushoga. Mimi nimekulia Tanga kuna mashoga toka miaka ya 80 huko hata hawakuwa...
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa.
Wachunguzi wa dini ya Freemason wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za...
Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo...
Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various forms all over the world, and claims millions of members. All of these various forms share moral and...
Salaam kwenu wakuu,
Kama mada ilivyo naomba kuuliza wale jamaa waliokua wanamiliki mikwanja na ndinga kali town mpaka wananzego wakaaminishwa mafanikio mpaka uwe freemason wako wapi wakati huu?
Mbona uvumi wa hiyo jamii ya siri umepoa kwanini? Nao vyuma vimekaza?
Au ndio walukua wazee wa...
Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminant
Ni mpango wa Shetani kuangamiza sheria ya Mungu tangu mwanzo. Shetani amekuwa akifanya vita dhidi ya amri 10 za Mungu ambazo ndicho kipimo pekee cha utii kwa Mungu. Katika vita hiyo, Shetani amekuwa akitumia mawakala wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.