Kuna uzi nilisema kuhusu biashara ni mda ,wakati,mapungufu na eneo.
Ila kwa sasa kila kona hakuna cha mkoani wala cha wapi ,kila mtu anatengeneza nyumba za kupangisha za kisasa au fremu zenye mvuto ambazo zina parking na gorofa.
Kama unapesa zako ndio unataka kuwekeza huku nakushauri labda...