fridge

  1. Metronidazole 400mg

    Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  2. Koffi Annan

    Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

    Fridge zipo za aina tofauti kulingana na ujazo na aina ya matumizi, fuatana nami katika Makala hii fupi itakayokuongoza namna ya kuchagua kulingana na mahitaji yako; Fridge zenye pande mbili Hizi ni fridge zenye nafasi kubwa kuliko zote, zinafaa kwa matumizi ya familia au kwa wewe mwenye...
  3. Princep

    HISENSE Energy Fridge

    .
  4. JourneyMan

    Ushauri: Display/Showcase Fridge, Mtumba au Mpya?.

    Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara.. Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo. Brands ninazoziwaza ni kati ya Midea Haier Hisense Westpoint Bruhm au Von, Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG...
  5. Manfried

    Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  6. T

    INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

  7. Big Fat Lady

    INAUZWA Fridge inauzwa (imetumika kidogo)

    SOLD
  8. Big Fat Lady

    INAUZWA Nauza Fridge Used (Mr UK)

    SOLD
  9. 90sgeneration

    Nauza Samsung Fridge

    Halina shida yoyote ni 100% Msasani bei ni fixed 380k aipungui, hivo hakuna maongezi please🙏 +255685909105
  10. Bob Manson

    Microsoft Ina tatzo gani, tangu jana siwezi fungua mlango wa fridge yangu

    Msaada kwa anaye fahamu namna ya kufungua, tangu jana sijanywa maji kabisa ☹️
  11. Abubakari Mussa

    Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  12. U

    INAUZWA Fridge mpya aina ya westpoint inauzwa

    Fridge imetumika wiki 3. Inauzwa tsh.700,000/= Inagandisha, Inapoza na Ina water dispenser. Ipo Tegeta. Kwa mawasiliano 0753166010
  13. fundi bishoo

    Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
  14. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh 850,000 Napatikana Kigamboni Dar es Salaam
  15. M

    INAUZWA Fridge aina ya Mr UK inauzwa Arusha

    Fridge aina ya Mr UK linauzwa hapa Arusha, bei chee, lina warranty ya miaka miwili Kwa mawasilino zaid 0786 998 436
  16. Wu-Ma

    Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

    Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita . Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss...
  17. Beberu

    INAUZWA Fridge za boss zinauzwa bei ya sawa na bure kabisa

    Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei. Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure, Pasi ya umeme bure, Jagi la umeme, stand ya fridge bure kabisa. NB: Malipo ni baada ya delivery...
  18. Beberu

    INAUZWA USHUHUDA: Jinsi Fridge linavyofanya napiga show kali kwa Bed

    Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life. Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza ufanisi wangu wa kupiga show kunako majambo. Mimi nimepanga geto, sina mke, ila katika kuhakikisha...
  19. KAGAMEE

    Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

    Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza. Asanteni.
  20. BOFREE

    nauza fridge lita 109 futi 4

    habari nauza fridge lita 109 bado mpyaa imetumika kidogo haimjui fundi hautajutia inapatikana manzese dar es salaam fridge sio kubwa sana ni futi 4 urefu bei 350000 sold sold sold sold
Back
Top Bottom