fridge

  1. Program Manager

    Hii ni dalili gani kwenye kifaa hiki cha fridge?

    Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
  2. WA MAMNDENII

    Showcase fridge ya biashara

    Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
  3. Mr Sir1

    INAUZWA LG Fridge inauzwa

    Fridge la LG linauzwa. Lipo katika hali nzuri mno. 560ltrs Opti fresh Frost Free (linagandisha bila kuweka mabarafu. Energy saving (linatumia umeme mdogo sana). Linafaa kwa matumizi ya nyumbani au biashara. Bei: 450,000 neg. Lipo Dar es salaam Kwa muhitaji piga 0689 799191
  4. Mireni KJ

    Fridge aina ya Boss rangi nyeusi

    Ninauza fridge yangu aina ya Boss. Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida Ipo Arusha mjini Offer yangu ni Tsh. Laki 5 Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka. Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu. Namba ya simu 0758435748
  5. K

    Ipi fridge nzuri ya mlango mmoja?

    Nataka kununua fridge ya mlango mmoja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Nimeona fridge za kampuni zifuatazo; 1.Mr Uk 2.Boss na 3.Hisense. Hisense compressor yake iko nje na haina bulb kwa ndani. Mwenye ufahamu na hizi fridge naomba ushauri nichukue ipi?
  6. E

    Namna ya kupata fridge za TBL

    Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
  7. Castr

    INAUZWA Fridge Aborder AB30SL

    Fridge lina sehemu ya kugandishia. Fridge ni la mlango mmoja. Linatumia umeme mdogo. Fridge ni jipya. Halijatumika tangu linunuliwe. Price: 330,000 Location: Dar es Salaam Contacts: 0682507838/ PM
  8. Godee jr

    Kwa mafundi fridge, naombeni msaada wenu

    Fridge langu mlango wake haubani vizuri. Yaani ukifunga kunabaki upenyo unaosababisha baridi kutoka nje. Najua Kuna zile lock Kama za milango ya nyumba lakini kwangu naona kama ni za kizamani Sana na zinaaribu muonekano wake. Naomba kujua kama kuna lock za kisasa au ambazo zinatumika sumaku au...
  9. M

    Manchester city has to wait, champagne back to the fridge

  10. Zuia Sayayi

    Aina gani ya friji ni nzuri?

    Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa. Mfano, jana nmetaka kununua...
  11. kinywanyuku

    Fridge la mtumba v\s la dukani

    Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
  12. D

    Nauza fridge

    Ni ZEC ina freezer pia Inagandisha vizuri sana nauza kwakuwa nimenunua kubwa sasa Bei 150k Iko dodoma 0715140001
  13. AbuuMaryam

    INAUZWA Fridge inauzwa kwa bei nafuu

    Fridge hilo hapo kama linavyoonekana pichani...HALIJATUMIKA SANA...LINA GAS YA KUTOSHA. Lina Warranty ya Miaka 2. Lipo safi kabisa zima...ENERGY SAVER, LINA FRIZA NDANI LINAGANDISHA SANA... MLANGO MMOJA... UNAWEZA WEKA VITU NDANI YA MUDA MFUPI, UKAZIMA NDANI YA SIKU MBILI BADO VYA BARIDI...
Back
Top Bottom