Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira...
Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani.
Haina hata mkwaruzo.
Haina kipengere chochote.
Ni milango miwili,
Inapooza na kugandisha
Bei 300,000
Contact : 0785214599
( Dar es salaam - Kigogo round about )
Kumekucha wadau!
Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo. Aliweza kuzungumza kwa kina kuhusu jinsi wazazi au walezi wanavyopaswa kuwaachia watoto wao nafasi ya...
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.
COCACOLA
PEPSI
BEER
Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi.
Kuna wengine wanatoa ma Freezer...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki mkubwa (sijui bei yake) ingependeza kama kuna watu wanafanya biashara waje watoe uzoefu wao.
Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard?
"Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara!
Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu.
👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza
🙏Bei yake 495,000/=
Naliuza kwa sababu na shida
Piga simu leo
0713...
Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni.
Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.