Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa wote kwenye gari hyo
Based on Dar es salaam & Zanzibar.
Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services.
For first & Reliable Services call us First. +255 693 797 110
Cc. Breeze Rabi
Wakuu salaam,
Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo
naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo
je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa.
Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika...
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi...
inapoza na kugandisha.
haina shida yoyote.
pugu-Dampo Dar es salaam
tupigie 0713096076 achana na comments.
245,000 Tshs only. Maongezi kidogo kuhusu usafiri yapo, only in Dar es salaam.
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana.
Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana.
Vitu vyote...
Wakuu habari
Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili
Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
Salama wakuu
Ningependa kujuwa sababu za msingi na za kueleweka kuhusu Vinywaji Vikali,, Nimeenda maeneo mengi kunywa ila sijabahatika kukuta asilimia kubwa ya Vinywaji Vikali vikiwa kwenye friji je sababu kubwa huwa ni ipo?
Ningependa kujuwa ni maeneo gani naweza pata K-vant ya baridi au...
Niko single. Mwanzoni mwa mwezi huwa nachemsha kilo mbili za maharage. Yakisha poa nayaweka kwenye Friji.
Sasa huwa nachota kidogo nakaanga, nasonga ugali, siku imepita.
Kwa mtimdo huu harage hilo huwa linadumu mwezi mzima.
Je, wadau hii ni salama kwa afya?
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
Wakuu,
FRIJI liwe na sifa zifuatazo
Used kubwa 1.5 au 2 size
Lisiwe chakavu
Lisiwe na hitilafu yoyote
Linaweza kuwa Aina ya Boss and the like but the Boss much prefered..
Uwe tayari kunisafirishia
Malipo baada ya makubaliano.
Inbox
Ahsante..
bei yake: 1.2 milioni
sehemu: ukonga, g.mboto
namba ya simu: 0764 509226
risiti yake ipo.
gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
SOLD SOLD SOLD
Ni kampuni ya GEC
Imetumika miaka mitatu
Gas ipo
Taa ya ndani inawaka.
Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi.
BEI ni 150,000/=
NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA.
0687603307
Friji/Jokofu linauzwa Tsh.350,000/= NET!
______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Linatumia 0.8 units tu za umeme kwa masaa 24.
Tena hapo ukiwa ume'seti namba KUBWA...
Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa.
Mfano, jana nmetaka kununua...
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.